Wakuu mimi nina mpenzi ambaye tumekubaliana kuja kuoana baadae mwaka 2016 ila suala la mapenzi amekataa kabisa kwa sasa hadi tutakapofunga ndoa, je hili linawezekana wakuu???
shida iko wapi mdogo wangu we mwambie sawa ila siku hiyo ikifika ya kufunga ndoa shuka nyeupe iwe nyekundu.yaani simple and clear alafu msikilize atasemaje
Wakuu mimi nina mpenzi ambaye tumekubaliana kuja kuoana baadae mwaka 2016 ila suala la mapenzi amekataa kabisa kwa sasa hadi tutakapofunga ndoa, je hili linawezekana wakuu???
Kuna mshkaji wangu nae kapewa masharti kama hayo na baby wake.Pole sana mkuu, tumia kanuni moja rahisi, wakati unasubiria nyumbu, basi tafuta angalau ka swala kakuzugia.