Ndiyo inawezekana na ni simple tu ila mpaka upate watu wenye access za kufanya huo udukuzi.Mm ninamahusiano na mtu kwa miaka kadhaa sasa!! Kuna wakat alinidukua watsap nikajua nikamtoa!!! Saiv nikiwasiliana na mtu kwa normal call. Lazima anakuja nifikishia ujumbe au kuongea maneno niliodiscuss kwenye conversation yangu!! Na kuna kipindi alishaniambia i paid kukufuatilia!! Je inawezekana anamtumia mtu wa tigo kudukua maongez yangu au imekaaje hii
anamtumia wa vodaMm ninamahusiano na mtu kwa miaka kadhaa sasa!! Kuna wakat alinidukua watsap nikajua nikamtoa!!! Saiv nikiwasiliana na mtu kwa normal call. Lazima anakuja nifikishia ujumbe au kuongea maneno niliodiscuss kwenye conversation yangu!! Na kuna kipindi alishaniambia i paid kukufuatilia!! Je inawezekana anamtumia mtu wa tigo kudukua maongez yangu au imekaaje hii
Tatizo sio umalaya!!! Nakosa privacy hata mambo ya familiaanamtumia wa voda
ila acha umalaya
Unatumia simu ya smartphone au button? Kama smartphone au button restore simu yako au nenda kwa fundi mpe aiflashi. Baada ya hapo usirhusu kumpa simu yako au nunua iPhone kabisa ila usimpe simu yako. Hapo itasaidiaTatizo sio umalaya!!! Nakosa privacy hata mambo ya familia
Unatumia simu ya smartphone au button?
Natumia iphone!!!Unatumia simu ya smartphone au button? Kama smartphone au button restore simu yako au nenda kwa fundi umpe iflash. Baada ya hapo usirhusu kumpa simu yako au nunua iPhone kabisa ila usimpe simu yako. Hapo itasaidia
Kuna application kaweka kwenye simu yako inayodukua mawasiliano na hizi application huwa ni ngumu kuziona sababu huwa zinafichwa na ukizitafuta kwenye setting huwezi kuziona maana huchukua majina ya default app zilizomo kwenye simu. Utakuta imeandikwa wifi, bluetooth au majina mengine kwahiyo ni vigumu kugundua. Hapo inabidi urestore simu yako kwa iTune yaani uanze upya. Kuna tutorial nyingi youtube zinazoelezea Jinsi ya kurestore simu ya iPhone. Ila kama umesahau email na password za iCloud usifanye hivyo maana hutaweza kuitumia tena simu yako. Kama utashindwa kurestore hakikisha mawasiliano yako ya muhimu unayafanyia kwenye simu ndogo ya button tena hizi ambazo zinatumia pin ndogo au kubwa.Natumia iphone!!!
Thanxxx!! Nakumbuka nitafanya hivyo!!!!!Kuna application kaweka kwenye simu yako inayodukua mawasiliano na hizi application huwa ni ngumu kuziona sababu huwa zinafichwa na ukizitafuta kwenye setting huwezi kuziona maana huchukua majina ya default app zilizomo kwenye simu. Utakuta imeandikwa wifi, bluetooth au majina mengine kwahiyo ni vigumu kugundua. Hapo inabidi urestore simu yako kwa iTune yaani uanze upya. Kuna tutorial nyingi youtube zinazoelezea Jinsi ya kurestore simu ya iPhone. Ila kama umesahau email na password za iCloud usifanye hivyo maana hutaweza kuitumia tena simu yako. Kama utashindwa kurestore hakikisha mawasiliano yako ya muhimu unayafanyia kwenye simu ndogo ya button tena hizi ambazo zinatumia pin ndogo au kubwa.
Pole sana. Ila mwambie shemeji aache wivu.
ila acha kwanza umalayaTatizo sio umalaya!!! Nakosa privacy hata mambo ya familia
Thanxxx!! Nakumbuka nitafanya hivyo!!!!!
Kwa huo uandishi unadhani hakuna hata stori moja kati ya replies 2000 na kitu za uzi wa tunda kimasikhara inayomhusu?Ulivyoandika tu hiyo thanxxx ghafla nimemuone huruma jamaaa
Mkuu, nimerudia mara tisa kusoma huu uzi lakini sijaelewa swali lako likowapi ama nini hasa unataka usahuriweMm ninamahusiano na mtu kwa miaka kadhaa sasa!! Kuna wakat alinidukua watsap nikajua nikamtoa!!! Saiv nikiwasiliana na mtu kwa normal call. Lazima anakuja nifikishia ujumbe au kuongea maneno niliodiscuss kwenye conversation yangu!! Na kuna kipindi alishaniambia i paid kukufuatilia!! Je inawezekana anamtumia mtu wa tigo kudukua maongez yangu au imekaaje hii
Kwa huo uandishi unadhani hakuna hata stori moja kati ya replies 2000 na kitu za uzi wa tunda kimasikhara inayomhusu?