C cheu yang Senior Member Joined Mar 4, 2017 Posts 115 Reaction score 83 Mar 9, 2017 #1 habari wana jukwaa nina mdogo wangu amemaliza kidato cha 6 mwaka jana amekosa mkopo ameamua kuomba diploma medical lab muda wa maombi ukifika sasa kama kuna MASHIRIKA mbalimbali ya afya yanayo sponsor anaomba kujuzwa na wakuu wa humu
habari wana jukwaa nina mdogo wangu amemaliza kidato cha 6 mwaka jana amekosa mkopo ameamua kuomba diploma medical lab muda wa maombi ukifika sasa kama kuna MASHIRIKA mbalimbali ya afya yanayo sponsor anaomba kujuzwa na wakuu wa humu
C cheu yang Senior Member Joined Mar 4, 2017 Posts 115 Reaction score 83 Mar 9, 2017 Thread starter #2 wakuu tiririkeni basi