Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,783
- 32,609
Mzuka sana Wanajamvi!
Ninahuzunika sana kuona raia wanaoishi kwenye nchi ya amani inapofika saa 12 jioni giza linapoingia wanashikwa na hofu na hata kuogopa kutembea usiku Kwa kuhofia raia wenzao. Hata wababe uchwara kwenye vituo vyao ikifika jion wanazungusha utepe na hakuna kusogea.
Ninahamu sana nivamiwe hili iwe fundisho. Haiwezekani bana nimejaribu kuwavutia wanivamie lakini wapi. Ninalala fofofo mlango wazi hawaji naskia tu Kwa majirani makele wezi wezi. Najiuliza kwanini siyo Mimi mbona hainitokei hii bahati?
Nikasema ngoja nijaribu njia nyingine kwa mda wa wiki moja kutembea kwaanzia saa mbili usiku hadi saa 11 asubuhi. nikaanzia kariakoo kutembea Kwa miguu pitia kidongo chekundu gerezani holaa napishana nao tu. Pita bonde la mkwajun magomeni holaa tunapishana nao tu na kuniangalia hadi madereva barabarani wananionya.
Nikabadilisha ruti pita keko ambapo nasikia wanapiga watu kabari na mbao yani holaa. Nikatembea tandika temeke mikoroshini bugiruni ubungo manzese darajani sam nujona road yani huko kote hamna kitu yani tunapishana tu wakinikodolea macho tu. Siwezi kulianzisha kwasababu chuoni shaulin temple tulikula kiapo tulipofuzu tusitumie mbinu zetu hatari za kupigana hovyohovyo ila tu Kwa kujihami self defense tunapokuwa provoked kwasabab inaweza leta madhara hata kwa wasiohusika. Haiwezekani nchi giza likiingia watu hata hawasafiri Kwa uoga eti kisiwa cha amani.
siitendi haki kabisa black belt yangu