Msaada wenu unahitajika sabufa yangu inakata

Kiti Chema

JF-Expert Member
Oct 18, 2017
865
1,000
Habari wa jamvi, nahitaji msaa wenu hata ushauri tu unatosha,

Nina sabufa aina ya Sunder ilikata sauti gafra baada ya dogo kufungulia volume kubwa, sasa ikawa haitoi sauti kuanzia kwenye besi na twita zake, ila kwa upande wa twita moja ukiweka sikioni unasikia kwa mbali kama umeplay music.

Hivyo nahitaji ushauri tatizo ni nini ili niende kwa fundi nikijuwa tatizo linarekebishika au ndo nimeshaipoteza
 
Whackiest

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
790
1,000
Mkuu hiyo inawezekan kuwa { ice } kiunda sauti cha sabufa kitakuwa kimeleta shida maan ake alipofungulia sauti sabuf ilihitaji kias kikubwa cha umeme kufika katika vihifazi umeme vya mwanzo yaan { capacitor} ambapo vikipokea huwa vinatawanya kiasi cha umeme kadri ya uhitaji katika sakiti ya sabufa kooo shida inaweza kuwa ice ya sabufa imepata shida nikimaanisha imepokea umeme ambao sio kias chake hivyo kushindwa kumudu na kutokea hitilafu kama sio hiyo basi vipokea umeme vimelea shida yaan capacitor itakua imeungua mkuu hapo huna jinsi fika kwa fund afanye.marekebish
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,871
2,000
Bila shaka ni IC zimeungua zote au pengine inatumia IC moja yenye channel nyingi basi IC hiyo imeungua. Usiendelee kuiwasha isijekuharibu components zingine.
 
Kiti Chema

JF-Expert Member
Oct 18, 2017
865
1,000
Mkuu hiyo inawezekan kuwa { ice } kiunda sauti cha sabufa kitakuwa kimeleta shida maan ake alipofungulia sauti sabuf ilihitaji kias kikubwa cha umeme kufika katika vihifazi umeme vya mwanzo yaan { capacitor} ambapo vikipokea huwa vinatawanya kiasi cha umeme kadri ya uhitaji katika sakiti ya sabufa kooo shida inaweza kuwa ice ya sabufa imepata shida nikimaanisha imepokea umeme ambao sio kias chake hivyo kushindwa kumudu na kutokea hitilafu kama sio hiyo basi vipokea umeme vimelea shida yaan capacitor itakua imeungua mkuu hapo huna jinsi fika kwa fund afanye.marekebish
Asante kiongozi
 
Eminentia

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,453
2,000
Habari wa jamvi, nahitaji msaa wenu hata ushauri tu unatosha,

Nina sabufa aina ya Sunder ilikata sauti gafra baada ya dogo kufungulia volume kubwa, sasa ikawa haitoi sauti kuanzia kwenye besi na twita zake, ila kwa upande wa twita moja ukiweka sikioni unasikia kwa mbali kama umeplay music.

Hivyo nahitaji ushauri tatizo ni nini ili niende kwa fundi nikijuwa tatizo linarekebishika au ndo nimeshaipoteza
Fungua ndani piga picha mashine yake
 
Lily Tony

JF-Expert Member
Feb 6, 2019
2,009
2,000
nje ya mada,naomba kuuliza.Ni kampuni ina sabufa au redio nzuri na imara?
 
Kiti Chema

JF-Expert Member
Oct 18, 2017
865
1,000
Naomba kujuzwa sifa za sabufa/redio original
Mara nyingi ukipata za kiwanda cha Rising ni bora na ningumu hata kama kuna matatizo ya kukatika umeme kwa ghafla huwa inabaki imara pia ina nguvu katika sauti, π‘–π‘™π‘Ž π‘π‘–π‘‘β„Žπ‘Žπ‘Ž π‘§π‘Žπ‘˜π‘’ 𝑛𝑖 π‘”β„Žπ‘Žπ‘Ÿπ‘Žπ‘šπ‘Ž π‘ π‘Žπ‘›π‘Ž
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom