mi nakupa mchango wa mawazo.
unaweza tafuta rafiki zako ambao unataka wawe wasimamizi (wadhamini) wako wa ndoa.....
nenda nao unakopanga kufunga ndoa (msikitini, kanisani, kwa DC, nyumbani..........), huko kote wanaulizia wadhamini wa ndoa tu.....
mkimaliza hapo mnatawanyika au mnaenda kupata lunch/diner...... umemaliza kazi
wala huhitaji kuumiza kichwa kwa hili mdogo wangu
hapana, mi yakwangu nilifanya sherehe kubwa sana kwa hela ya mfuko wa mume wangu......ok, we yakwako ulifanya hivyo?
si umeomba na mchango wa mawazo? au hiyo hukuimaanisha?hujaambiwa kutoa coment, umeambiwa kama unania ya pekee changia
hapo ndo wakaka wengi mnapoingia chaka......Ni kweli kama Watu hawako Tayari kuchangia?
Maana kama kuchangia watu huchangia,
Lakini hilo wazo lako la Kufanya kile ambacho ninaweza kufanya Muheshimiwa limenigusa mmno, Nilitaka kwenda Kanisani na kumalizana na Padre, kisha nirudi home halafu nikacheki zangu Movie pake M city, lakini Wife anasema ni tukio la Kwanza na La mwisho maishani mwetu kwahiyo tusilifanyie Masihara..
Nalo ni wazo zuri sasa nipo dilema
Kwanza Napenda kuwakaribisha kwenye vikao vinavyo endelea vya Harusi yangu inayotegemea kufanyika mwanzoni mwa mwezi wa Sita,
Lakini kama munavyo jua Harusi za Dar es Salaam, zina ghalimu sana, na Garama zake hazipungui 2000,000, ili kufanya mambo yote kwenda sawa.
Ndugu zangu kwa yeyote yule mwenye Mapenzi mema, naomba mchango wake wa kifedha, kimawazo, Vitu na hata vinywaji kama inawezekana ili kufanya Sherehe ya harusi yangu kufanikiwa.
Mwenye kutapenda, au kuhitaji kunisaidia tucheki kwa Tigopesa 0713-073280/ Mpesa 0752 014077, na Airtel Money 0684 706 735, nashukuru sana, Kwa maelezo zaidi piga namba hizohizo!
eti anatimiza matakwa ya mke mtarajiwa!Usifate harusi za Dar angalia mfuko wako....
kila laheri.
eti anatimiza matakwa ya mke mtarajiwa!
hajui huwa hayaishi hayo.....
akianza leo kudai harusi kubwa wakati anajua huna uwezo ukamtekelezea kwa kuitisha harambee JF na FB kesho atakuja na jingine
mi nakupa mchango wa mawazo.
unaweza tafuta rafiki zako ambao unataka wawe wasimamizi (wadhamini)
wako wa ndoa.....
nenda nao unakopanga kufunga ndoa (msikitini, kanisani, kwa DC,
nyumbani..........), huko kote wanaulizia wadhamini wa ndoa tu.....
mkimaliza hapo mnatawanyika au mnaenda kupata lunch/diner......
umemaliza kazi
wala huhitaji kuumiza kichwa kwa hili mdogo wangu
hapo ndo wakaka wengi mnapoingia chaka......
kama swala ni wife basi a-facilitate......
kwani tukio la kwanza na la mwisho lazima limwache mmoja wenu kwenye maumivu?