Pacha eh iyo inachangiwa na mambo mengi!
1: Kumchoka mpenzi uliyenae
2: Kufanya mapenzi na wanawake magogo na wasiojua ata jinsi gani ya kufanya mahanjam yatakayo kupa mzuka
3: Kushiriki tendo ukiwa na mawazo lukuki iwe yakimaisha au kikazi
4: Kufanya tendo na mwanamke ambae hakuvutii kimapenzi.
Sababu ni nyiiingi sana zipo za kiafya ila kwa haraka haraka izo zinatosha!