Hahahahahaahahhahahah.....khaaa!!!!
Shemeji jamani.
Mie alinisaidia laki 8 na ilikuwa nyuma ya keyboard.
Hata chura hakuwahi kuiona.
Au aliambiwa itakuwa....
Afu mtu wa dini....sidhani kama chura anaitumia kama wewe.

Hahahha, shem Mtambuzi katekwa na yule mke wako mdogo, hafurukuti kabisa.
Hawezi bhana...nyuzi zake zoooote Jf ni za mambo ya dini tu.
Ni mpiga maombi mmoja mzuri sana humu.
Na ukute ni Padri au Imamu halafu
Ila shetani ana nguvu sana ujue.