Msaada wenu tafadhali wanaJF, maji yamezidi unga

Kama maji yamezidi Unga basi wewe kologa uwe Uji. Usilazimishe uwe Ugali Haitawezekana.
 
omba kazini kwako,ukiona unasita kuomba kazini kwako,ujue ..............................

Omba kazini kwako,ukiona unasita kuomba kazini kwako, ujue
Mkuu nipo humu Jf kwa miaka 9 sasa hata Siku na 1 sikuwahi kutegemea kama nitakuja Ku bag humu kuazima hela but matatizo hayana mipaka na maisha milima na mabonde.hope ninefafanua zaidi lakini mambo ya mitandao ina limit zake.
 
Takukuru wanakamata wale ambao pesa zao zina ushirirkina, yaani hata uchakarike kwa sarakasi gani deni hulipi na riba inazidi kubwa. Kama habari ya juzi ya yule mstaafu, alikopa 10M jamaa wakachukua 25M.
uaithubutu kuchukua kadi
wakikufumania utageuzwa mdaiwa
 
Samahani mkuu,wewe ndo yule Mwalimu aliyekamatwa na mwanafunzi Jana Kijiji X?

Mwisho kama unamshahara nenda bank kwa mikopo wenye ribs nafuuu,mfano 1M kwa miezi sita riba yake ni 100,000 hadi 140,000

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Kuna member humu natamani nimtag akusaidie, sema atajua tu mie ndo nimekulengesha kwake.
Angekupa bila riba na huenda ungerudisha nusu tu.
Anasaidia sana watu
Kwakuwa alikusaidia wewe unadhani inasaidia na wanaume?

Wewe chura yako aliiweka kama dhamana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…