Wakuu habari zenu.
Natumai kwenye jukwaa hili wapo baadhi ya member ambao ni wataalam wa mambo mbali mbali ya kiufundi electronics, sasa mwenzenu kwa bahati mbaya leo hii mchana wakati nafungulia Tv walau nipate kuangalia habari na mambo mbali mbali yanayojiri/yanayowndelea hapa nchini kwetu, kwa bahati nzuri/mbaya wkati naongeza sauti ya tv, nikagundua kuwa spika za tv yangu hazitoi sauti vizuri. Hivyo ilibidi niifungue ili kujua tatizo ndipo nimegundua spika zake tayari zimechanika. Hivyo nawaomba msaada wenu kwa mwenye kuwa nazo ili aniuzie au mwenye kujua duka la vifaa ambalo nitaweza kuzipata kwa hapa Dar naomba anijulishe. Tv ni Samsung 32".
Msaada wenu tafadhalini.
4ᵗʰpost 2019View attachment 1018320View attachment 1018321View attachment 1018323
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Ndio nimefanya hivyo, kwasasa natumia subwoofer. Ila kiukweli hii Tv inajiweza kwenye sauti maana sauti yake tu balaa.Kwa nini usitumie redio tu kama source ya sauti mkuu.
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Ndio nimefanya hivyo, kwasasa natumia subwoofer. Ila kiukweli hii Tv inajiweza kwenye sauti maana sauti yake tu balaa.
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Ndio nimefanya hivyo, kwasasa natumia subwoofer. Ila kiukweli hii Tv inajiweza kwenye sauti maana sauti yake tu balaa.
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Mkuu nafungulia sauti ya wastan, niliposema inajiweza sikuwa namaanisha kuwa nafungulia sauti kubwa bali uwezo wake kama utaamua kusikiliza music inatoa vizuri.Kumbe utaziunguza tena sasa,usiniambie huwa unafungulia sauti kama banda la video.
Wakuu habari zenu.
Natumai kwenye jukwaa hili wapo baadhi ya member ambao ni wataalam wa mambo mbali mbali ya kiufundi electronics, sasa mwenzenu kwa bahati mbaya leo hii mchana wakati nafungulia Tv walau nipate kuangalia habari na mambo mbali mbali yanayojiri/yanayowndelea hapa nchini kwetu, kwa bahati nzuri/mbaya wkati naongeza sauti ya tv, nikagundua kuwa spika za tv yangu hazitoi sauti vizuri. Hivyo ilibidi niifungue ili kujua tatizo ndipo nimegundua spika zake tayari zimechanika. Hivyo nawaomba msaada wenu kwa mwenye kuwa nazo ili aniuzie au mwenye kujua duka la vifaa ambalo nitaweza kuzipata kwa hapa Dar naomba anijulishe. Tv ni Samsung 32".
Msaada wenu tafadhalini.
4ᵗʰpost 2019View attachment 1018320View attachment 1018321View attachment 1018323
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Chief hujanielewa, radio ninayo tena kubwa tu. Nilimaanisha kuwa spika za tv yangu zimeharibika, tena ni spika za ndani, kama kuna mwenye nazo tafadhaliNi aibu kama unaweza nunua tv ya almost laki tano afu unashindwa nunua hata radio ya laki na nusu au mbili itoe sauti kutoka kwenye tv .unatumiaje spika za tv mkuu hata nyimbo unasikilizaje kwenye hiyo spika kwanza [emoji16][emoji16] em kanunue radio hizo spika ningeeza kukutolea kwangu maana hazitumiki ila kanunue radio