MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,802
- 72,057
Azungumzie CAPITALISM IN TANZANIA kwenye vitu kama Land Ownership au Industrial Investment au Labour Contracts au hata Uwekezaji wa nje kwenye Sekta ya Madini. Yaani vitu ambavyo ni Hot Cake kwasasa na wala hakosi mifano kabisa!Anhaaa! Kweli nimeona ajitahidi ku i narrow hii
Hahaaa hapana Mkuu! rigidness kwang mwiko! that's why nimeileta hapa jukwaani for everthing including criticisms!Kweli umeongea kitu kizuri
Research huwa inatakiwa kuwa flexible na kusikiliza watu wana sema nini. Na sku zote idea ya kwanza huwa haiwi perfect kabsaa.
Kama anataka apate shida kwa research bas awe rigid.
Ubarikiwe Mkuu! at least Nimekuelewa Sasa!Azungumzia CAPITALISM IN TANZANIA kwenye vitu kama Land Ownership au Industrial Investment au Labour Contracts au hata Uwekezaji wa nje kwenye Sekta ya Madini. Yaani vitu ambavyo ni Hot Cake kwasasa na wala hakosi mifano kabisa!
Tupe basi hela ya Consultancy mimi na mkuu Iceman 3D ...Ubarikiwe Mkuu! at least Nimekuelewa Sasa!
Yes umempa idea nzuri kabisa hizoAzungumzia CAPITALISM IN TANZANIA kwenye vitu kama Land Ownership au Industrial Investment au Labour Contracts au hata Uwekezaji wa nje kwenye Sekta ya Madini. Yaani vitu ambavyo ni Hot Cake kwasasa na wala hakosi mifano kabisa!
kwa research za non PHD haushauriwi kuweka hypothesis unless una taka kutest theory au ku create theory. bare in your mindUmeweka skeleton sana jazia Nyama tukusaidie
Research Ni wigi mpana sana kuanzia Title , objective, hypothesis, Significance n.k
Weka Nyama zaid upate darsa duara
kuna daktari mmoja pale udsm ameandika sana mambo ya ideology tena ametoa iyo research yake this year at least unge sema we unataka ku research kitu gani hasa ? mfano ukisema capitalism ideology ni independent variable sasa unataka uishindanishe na variable gani nyingine ambayo itakuwa ni dependent V. ukisema tu in TZ utakubidi uangalie vitu vingiiiii let say social, economic, political e.tcAsante kwa Msaada wako Mkuu
NB: Hii ni Exploratory/Inductive Research.