Msaada wenu katika research yangu

Mtaured

Senior Member
Joined
May 17, 2018
Posts
119
Reaction score
103
Wasaalamu WanaJF!..

Ninaomba Msaada wa mawazo yenu katika Concept hii:

"Capitalism Ideology in Tanzania Today"

Nawasilisha!
 
Umeweka skeleton sana jazia Nyama tukusaidie

Research Ni wigi mpana sana kuanzia Title , objective, hypothesis, Significance n.k

Weka Nyama zaid upate darsa duara
 
Umeweka skeleton sana jazia Nyama tukusaidie

Research Ni wigi mpana sana kuanzia Title , objective, hypothesis, Significance n.k

Weka Nyama zaid upate darsa duara
okay Mkuu! inshort my Research Topic ni "The Place of Tanzania in an Economic ideology today". Then moja ya Subtopics ni hiyo hapo "Capitalism Ideology in TZ today"
 
Mhhhh, wewe jamaa yangu yaani hii Research gani hii sasa ???
Ofcoz mkuu ni research gani! but that's something i want to do jamaa yangu just to expand my knowledge in such things especially the stand of our country in developmental policies! thanks Mkuu!
 
Ofcoz mkuu ni research gani! but that's something i want to do jamaa yangu just to expand my knowledge in such things especially the stand of our country in developmental policies! thanks Mkuu!

Huwezi kufanya Research kubwa hivyo kwa ufasaha.
Lazima ujikitie katika kitu fulani hasahasa kwenye Empirical Research kama hii.
Unazungumzia Ideology, hewalaa kabisa lakini unataka kupima nini hasa kwenye hiyo Ideology ??? Hii itakusaidia sana kwenye kuweka Recommendations zako mwishoni. Nakushauri kama unataka mambo yawe marahisi wewe zungumzia "Ubepari mwanzo mwisho" yaani jikite kwenye Ideology lakini zungumzia Ubepari tu:.........

NB: Haya Hypothesis yako ni Ipi ?? Hebu tuanzie hapo basi.
 
Asante kwa Msaada wako Mkuu



NB: Hii ni Exploratory/Inductive Research.
 
Research yako iko general sana
Lakini ni sawa kama unafanya deductive
Cha msingi tengeneza hypothesis zako halafu nenda kazitest hizo hizo tuu
 
okay Mkuu! inshort my Research Topic ni "The Place of Tanzania in an Economic ideology today". Then moja ya Subtopics ni hiyo hapo "Capitalism Ideology in TZ today"

Siku hizi research zimebadilika sana ki muundo tofauti Na Miaka yetu!
Ok
Ntakupa idea Sio notes baadae nikipata wasaa
 
NB: Hii ni Exploratory/Inductive Research.
Hapo kwenye NB,
Mbona hii Topic Imezungumziwa sana tu au bado hujafanya Literature Review ???
Imezungumzwa na Wanasiasa tangia kipindi cha Azimio la Zanzibar: Prof Issa G Shivji na wengine wamekosa sana tu.
Kiufupi kama ningekuwa Supervisor wako ningekwambia The Topic is Over-Researched....Imefanyiwa utafiti sana hadi na IMF na WORLD BANK kwenye kuangalia The Efficacy of Structural Adjustment Programme (SAP). Mzee Nyerere aliizungumzia mwaka 1997-98. Wole Soyinka (Nobel Prize Laureate) ameizungumzia sana sanaa, hadi alipokuja Tanzania aliwakumbusha wasomi wa Vyuo Vikuu. Wewe utasememaje ni Explanatory ndugu yangu wakati Ubepari Tanzania unafahamika vizuri hata na mtoto wa kidato cha sita ???
 
Huo ubepari ni one of SUBTOPICS Mkuu! My research topic iko wide! just nimetoa subtopic ndogo inayonitatiza mkuu! nitashukuru sana kama utanisaidia katika hilo!
 
Research yako iko general sana
Lakini ni sawa kama unafanya deductive
Cha msingi tengeneza hypothesis zako halafu nenda kazitest hizo hizo tuu

Mkuu huyu ndugu anafanya Inductive (Theory Generated from Data) siyo Deductive (Pure Theory).
Sasa anafanya topic pana kama hii si anaweza kudata njiani kweli ??? Teh teh teh teh!
 
Mkuu huyu ndugu anafanya Inductive (Theory Generated from Data) siyo Deductive (Pure Theory).
Sasa anafanya topic pana kama hii si anaweza kudata njiani kweli ??? Teh teh teh teh!
Mkuu ndio maana nimeipoint out subtopic inayonitatiza! just your ideas concerning are going to help ...thanks!
 
Huo ubepari ni one of SUBTOPICS Mkuu! My research topic iko wide! just nimetoa subtopic ndogo inayonitatiza mkuu! nitashukuru sana kama utanisaidia katika hilo!

Anyway mkuu labda mimi nime-complicate sana mambo au sielewi kabisa na naongea nisichokijua.
Lakini mkuu Iceman 3D amekushauri kama mimi kwamba "The Topic is too wide" na itakusumbua sana.

NB: Sisi tutakusaidia endapo utakubali kusaidika mkuu na kukubali kukosolewa,
Research ndivyo zilivyo unaweza ukaenda na kitu ukidhani uko sawa na ukifika unakoselewa na kuanza tena upya.
Wewe vumilia tu...HAKUNA NAMNA πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Pamoja!
 
Kweli umeongea kitu kizuri
Research huwa inatakiwa kuwa flexible na kusikiliza watu wana sema nini. Na sku zote idea ya kwanza huwa haiwi perfect kabsaa.
Kama anataka apate shida kwa research bas awe rigid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…