Msaada: Website ya TCU haipatikani

Msaada: Website ya TCU haipatikani

TYLYIMO NIMO

Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
10
Reaction score
8
Website ya TCU haipatikani toka jana, nifuwate taratibu gani kuapply. CAS. www.cas.tcu.go.tz

tc.PNG
tcu2.PNG
 
mkuu hata mm nimehangaika nayo usiku kucha ila nimewapigia wameniambia wanafanya maintenance tuwe na subira
 
Haifunguki, hapa lazima kuna hujuma sio bure..
 
Wale walioambiwa mwisho tarehe tano ndo washaibiwa siku mbili hivyo
 
Sometime ni browser support may be jaribu ku install browser nyengine kwa mfano opera, safar au hiy ya default Internet Explorer, then utajuwa kama issue ni server yao ipo down au ishu ni kwa mtumiaj kama wew (END USER)
 
Back
Top Bottom