Ndekirhepva
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 371
- 44
Wataalam ninajileta kwa msaada,natumia sony vaio cr220e,tokea nimeweka window 8,kipengele cha skype na webcme kwa ujumla nime kwama,nipeni maujanja wadau,kama kuna namna ya kuiamsha,nijejarbu ku re instal driver bt hakuna changes