kaka nimepitia hiyo ya Lynda Drupal 7 essential training lakini bado napata ugumu. Hiyo ya drupal 7 customizing themes sina naona jamaa wanailinda sana nimeikosa ktk torrent........nitaku pm mail address yangu tuwasiliane. Theme nayotaka inaitwa Business, kuna organization inahitaji website ambayo pia itakua na ukurasa wa forum, niliwashauri forum iwe ktk sub domain wakakataa wanahitaji iwe ktk site moja sasa kwa hii drupal inanisumbua kuiweka ktk page. Pia blocks za front page zinazingua, sijajua shida ni theme au vipi