Msaada Web development using Drupal

komredi ngosha

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
382
71
Nahitaji kutengeneza website kwa kutumia drupal cms. Nimesoma tutorials za Drupal essentil training za Lynda ila bado nashindwa kuimudu hasa ktk block and pages customization. Naomba msaada ni tutorials gani nzuri napaswa nizipitie?
 
Drupal?? Sijawahi kuisikia wala kuitumia mkuu. Kwa nini usitumie software za adobe?
 
Nahitaji kutengeneza website kwa kutumia drupal cms. Nimesoma tutorials za Drupal essentil training za Lynda ila bado nashindwa kuimudu hasa ktk block and pages customization. Naomba msaada ni tutorials gani nzuri napaswa nizipitie?

Mbona trainng za lynda zina maaelezo ya utosha au umetazama training gani

Video za lynda kutazama ili uijie vizuri na kuweza kufanya customisation ya hii CMS ni hizi
Drupal 7: Creating and Editing Custom Themes - Kwa customosiation hi ni muhimu
Drupal 7 Essential Training

Sidhani kama kuna training nzuri zaidi ya hizo labda ujaribu kutumia na vitabu

BTN
Ni theme gani hiyo unayotaka kufanyia customisation?
 
kaka nimepitia hiyo ya Lynda Drupal 7 essential training lakini bado napata ugumu. Hiyo ya drupal 7 customizing themes sina naona jamaa wanailinda sana nimeikosa ktk torrent........nitaku pm mail address yangu tuwasiliane. Theme nayotaka inaitwa Business, kuna organization inahitaji website ambayo pia itakua na ukurasa wa forum, niliwashauri forum iwe ktk sub domain wakakataa wanahitaji iwe ktk site moja sasa kwa hii drupal inanisumbua kuiweka ktk page. Pia blocks za front page zinazingua, sijajua shida ni theme au vipi
 
Mkuu hiyo torrent ya drupal customising ichukue hapa. Japo ni ya version 6 lakini itakupa picha. Sijaifanyia kazi drupal wa siku nyingi lakini kila unachotaka kinawezekana. Kama ilivyo Joomla nadhani file linalobeba structure nzima ya template ya drupal liko kwenye Xml.

Otherwise kama time is behind you kurahisisha kazi ni kutafuta template inyoendana na mahitaji yako ili uwe na kazi ndogo ya customisation.
 
Back
Top Bottom