Mimi niliomba kazi serikalini na usaili ulianza tangu tar 26 august na utaishia tar 16 mwez huu. tatizo langu ni kwamba nimeshindwa kabisa kudownload majina ya walioitwa kwenye usaili. Tafadhali naomba mwenye kuyafikia aniangalizie jina hili.VINCENT THOMAS MINJA. nijibu hata kupitia
minjav6@gmail.com. naomba xna.