Kuna shirika linaitwa VST japo mshahara wake niwakipuuzi anaweza kuomba hapo afundishe fundishe hata miaka miwili au mmoja tu apate ada ya akasome dip ya ualimuNi binti wa kimasikini hatamani tena kuishi.
Anashindwa kuendelea na masomo japo amechaguliwa computer science UDOM kwa level ya diploma.
Alisoma CBG na alipata div III ana D moja kitu kilichopelekea asiombe level ya bachelor kwani hana D ya pili
Sasa amepata diploma UDOM ada 900,000,na pia nursing Sengerema ada 200,000 hii kubwa sn.
Tunaomba mawazo tufanye nini watu wa Mungu?Familia haijiwezi kabisa kabisa ya huyu binti, ANALIA TU.Yani hajui afanye nini?Me nina jaribu kumtafuta mbunge wake ni wa huko Singida.
Kama kuna mtu atataka kuingea naye basi nitamuunganisha naye .
Nitalileta jimbo hapa mnisaidie mbunge wake ni nani?Msaidieni mtoto wa kike huyu please.
Asanteni.
Asante Mkuu kwa ushauri,namna ya kuwapata plz.Maana huyo binti yupo Singida kwa ssKuna shirika linaitwa VST japo mshahara wake niwakipuuzi anaweza kuomba hapo afundishe fundishe hata miaka miwili au mmoja tu apate ada ya akasome dip ya ualimu
Kama amedahiliwa nursing chuo chochote juzi juzi hapa niliona tangazo la wizara ya afya wanatoa ufadhili kwa level ya certificate. Mwisho wa maombi ni kesho tarehe 11/11/2016.Ni binti wa kimasikini hatamani tena kuishi.
Anashindwa kuendelea na masomo japo amechaguliwa computer science UDOM kwa level ya diploma.
Alisoma CBG na alipata div III ana D moja kitu kilichopelekea asiombe level ya bachelor kwani hana D ya pili
Sasa amepata diploma UDOM ada 900,000,na pia nursing Sengerema ada 200,000 hii kubwa sn.
Tunaomba mawazo tufanye nini watu wa Mungu?Familia haijiwezi kabisa na huyu binti, ANALIA TU. Yani hajui afanye nini? Me ninajaribu kumtafuta mbunge wake ni wa huko Singida.
Kama kuna mtu atataka kuongea naye basi nitamuunganisha naye .
Nitalileta jimbo hapa mnisaidie mbunge wake ni nani?Msaidieni mtoto wa kike huyu please.
Asanteni.
Mkuu asante,ndo kaniambia leo.Muda ndo hivo si rafiki tena ktk hili,ningemhangaikia kwa miongozo yako.Kama amedahiliwa nursing chuo chochote juzi juzi hapa niliona tangazo la wizara ya afya wanatoa ufadhili kwa level ya certificate. Mwisho wa maombi ni kesho tarehe 11/11/2016.
Pole sana mkuu na pole kwa binti yetu. Asikate tamaa, mambo mazuri zaidi yapo mbele yake kuliko anavyofikiria yeye. Awe na moyo mkuu lakini akiyaweka matumaini yake kwa Mwenyezi Mungu. Mpe matumaini pia wewe uliye karibu naye [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Mkuu asante,ndo kaniambia leo.Muda ndo hivo si rafiki tena ktk hili,ningemhangaikia kwa miongozo yako.
Anasikitisha kwa kweli.
Me nipo tayari kumsaidia chakula akiwa chuo kama angepata msaada wa ada
Najitahidi mkuu,asante kwa yotePole sana mkuu na pole kwa binti yetu. Asikate tamaa, mambo mazuri zaidi yapo mbele yake kuliko anavyofikiria yeye. Awe na moyo mkuu lakini akiyaweka matumaini yake kwa Mwenyezi Mungu. Mpe matumaini pia wewe uliye karibu naye [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]