Msaada waungwana anayejua dawa ya meno

Ukiwa unasukutua, usiwahi kutema lile povu la dawa ya meno, lizungushe mdomoni walau kwa dk 5 ndio uje kulitema.

Ukiwa unafanya hivyo, mara mbili au tatu kwa siku niamini mimi itakusaidia sana.
Kunda dada mmoja nadhani ni Dr Muhimbili huwa anatokea kwenye vyombo vya habari siku ya kinywa duniani, nilimsikia akisema haishauriwi dawa ya meno kukaa nayo sana mdomoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…