Msaada wataalamu wa simu za nokia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wataalamu wa simu za nokia

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by IrDA, Jul 15, 2012.

 1. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 639
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Wadau simu yangu aina ya NOKIA 1661-2 imejilock yenyewe.Nikiwasha inaniambia niweke security code,ambayo sijawahi kuweka.Nimejaribu kutumia default code bila mafanikio.Je kuna njia nyingine yoyote ya kutatua tatizo hili bila KUIFLASH?
   
 2. Mr Penal Code

  Mr Penal Code JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 777
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  vp ulikuwa umeweka pin code mwanzo au?
   
 3. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 639
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Hapana mkuu sikuweka
   
 4. waza_makubwa

  waza_makubwa Senior Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  toa line, iwashe weka hzo default codes kama hukuwah kubadlsha. Ikshndkan kaiflash mzee
   
 5. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Ungetaja hiyo default labda unaikosea
   
 6. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 639
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Asanteni sana wadau kwa ushauri,nimeweza kuiunlock kwa kutumia Mastercode ambayo nimeipata kwenye website flani ambayo inakutaka uweke IMEI,code yenyewe
  [h=1]5615661045[/h]
   
 7. ProBook

  ProBook JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  aisee mkuu ni website gan hiyo aisee maana hapa tupo wengi tunaface the same problemo..
   
 8. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  ebwana hata mimi N-73 inasumbua kwa upande wa lock code ka vp ni pm iyo website mkuu please
   
 9. rickymj

  rickymj Senior Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ingia google afu search 4 mastercode generator utapata sites nyingi 2.
  Ila kwa cmu za sa hv zinakubal chache,,,nlijarb kpnd flan simu za chini ya mwaka 2007 ndo zinakubal joh.
   
 10. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  link hizi hapa,, bonyeza *#06# utaona imei number ya simu ipo na digits kumi na tano, iweke hiyo imei kwenye hiyo calculator alafu generate master code... hii ni unlocker ya simu za zamani before 2008 za DCT3 na DCT4 na sio BB5,,,,,

  ( http://nfader.su/ )
  ( http://www.unlockitfree.com/master.php )
   
Loading...