Msaada wataalamu wa magari

chichimizi

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
1,074
338
Wakuu mm nina pesa zangu za Madafu kama ML 4 hivi natafuta gari ambayo inauwezo wa kutembea umbali mrefu.

Sina uzoefu na magari.
NB. Hataikifika ML 5 sawa tu
 
Sasa kwani ni lazima na ww umiliki gari mkuu, kwa mfuko wako utapata gari li mtori uje ujute. Kwann usinunue hata boxer na chenji inabaki.
 
Back
Top Bottom