Msaada: Wataalamu, TECNO H5 imegoma kuwaka

Charles kikoti

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
461
Reaction score
121
Habari wana jamvi, kimsingi msaada wenu ni mhim sana kwangu. Simu yangu ya Tecno nilikuwa naiformat (factory reset) baada yakumaliza ikagoma kuwaka. Inaandika UI system not responding hivyo wataalam naomba msaada tafadhari.
 
mkuu hayo ni majanga ya tecno.peleka kwa mafundi waiflash ikigoma tupa jalalani maana hakuna namna nyingine tena
 
Habari wana jamvi, kimsingi msaada wenu ni mhim sana kwangu. Simu yangu ya Tecno nilikuwa naiformat (factory reset) baada yakumaliza ikagoma kuwaka. Inaandika UI system not responding hivyo wataalam naomba msaada tafadhari.

Bonyeza button ya kuongeza sauti na ya kuwasha simu zote kwa pamoja..then Use the Volume +(up) to Navigate to Recovery Mode and Press the Vol – (down) button to select…

Tab the Power Button once to get the options… Use the Vol – (Down) Button to Navigate to Wipe Data/Factory Reset.. Use the Vol + (Up) Button to Select.. Use the Vol – (Down) Button to Navigate to Yes – delete all user data.. Use the Vol + (Up) Button to Select..Then Shuka kwenye wipe cache partition nako Fanya kama juu hapo.

Navigate to Reboot Phone.. Then Wait because it takes sometime to boot for the First Time
 
Is it take more than 2 hours brother? Cos I tried that and waited for about 1 hour without rebooting. Labda nijalibu tena.
 
Is it take more than 2 hours brother? Cos I tried that and waited for about 1 hour without rebooting. Labda nijalibu tena.

ume wipe data na cache kisha ukareboot? hta dakika humalizi itakua inawaka...ikigoma ni ya Kuflash
 
mkuu ya kwangu ni galaxy note3 Samsung imegoma kucharge. Msaada wako unahitajika mkuu:
 
usichelewe mkuu nenda kwa fundi ku-flash.
 
ume wipe data na cache kisha ukareboot? hta dakika humalizi itakua inawaka...ikigoma ni ya Kuflash

Nashukuru kwa ushauri labda hio njia ya kuflash maana ikiwaka inaketa zile demo mpaka na finish vizuri lakini ikimaliza pale kwenye screen panabaki black. Baadae kabisa inaandika system ui isn't responding close or wait mkuu.
 
inacharge kidogo baada ya kama 15% inaanza kupungua charge huku inaopnesha inacharge

umejaribu kubadilisha charger mkuu? tafuta charger nyingine nzuri Mara nyingi chager hizi huwa zina discharge .
 
Nashukuru kwa ushauri labda hio njia ya kuflash maana ikiwaka inaketa zile demo mpaka na finish vizuri lakini ikimaliza pale kwenye screen panabaki black. Baadae kabisa inaandika system ui isn't responding close or wait mkuu.

Umefanya kama nilivyo kuelekeza? kama inawaka vizuri nenda kweny setting ,application, then all application kisha tafuta system ui then ifungue na clear data then reboot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…