Msaada Wataalam

che wa Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
277
Reaction score
71
Ni video format ipi ambayo huwezi kupeleka forward?
 
Hakuna video format yeyote ambayo huwezi kuforward. Or may be we get you wrong, swali lako linachanganya.
 
Labda flv sometime inazingiaga mpeg sometime inazingua ila hakuna format ambayo hauwez forwad
 
nimewahi kukutana na movie kama mbili za ku-download ilikuwa ukisogeza ile progress bar mbele inagoma ila sijawahi kuzingatia ni format gani.
 
ok sasa nimewapata maana swali lenyewe lilikuw limekaa kushoto..Ok, hiyo format inayosumbuaga sana ku forward ni flv. na hii inasababishwa sana na player unayotumia ila player angalau zinazojitahidi ku play ni VLC na Real player (ingawa nazo sometimes huwa zinazingua vilevile) ila sasa zipo software maalum za kuplay hizi kitu ambazo ni free just search google flv player utazipata na tatizo hilo kwisha!!
 
nimewahi kukutana na movie kama mbili za ku-download ilikuwa ukisogeza ile progress bar mbele inagoma ila sijawahi kuzingatia ni format gani.
kuna wakati hizo files zinaharibika au kutokamilika (ndo mana kuna baadhi ya player kama vlc inakupa option ya 'file repair' ukijaribu kuiplay) mostly ni wakati wa kudownload, copy au move
 
video zinazo kataa kufoward, ni tatizo la video yenyewe,sio player,inatokana na compression techniques zilizotumika kutengeneza hiyo video.na hakuna format ya video mbaya,flv, mkv,avi, ndo format nzuri zaidi interms of high quality videos.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…