MSAADA: WATAALAM WA VIDEO SHOOTING

abagabo

Senior Member
Jun 4, 2014
155
168
Kiufupi majuzi nimerekodi harusi ya mtu, nilitumia sd card na baada ya kazi nilikuta clips muhimu sana hazimo kwenye card. Clips nyingine zimo na nyingine hazimo. Kazi hii nimefanya mwenyewe na nina uhakika kuwa camera ilikuwa ON muda wote na kitufe cha RECORD nacho kilikuwa ON pia.

MASWALI: Kitu gani chaweza kuwa kisababishi?
2. Je clips ambazo sizioni zaweza kuwa zimo?
3. Naweza fanya nini?

Asante
 
from my experience clip kupotea kunaweza sababishwa na kuzima camera ghafla
kwa mfano wakati camera unaizima unaona inachelewa kuzima unachomoa betri clip zinaweza potea.,,,,

sababu nyingine ni pale camera inapo load au initializing halafu ukaiforce kuzima clip zinaweza potea

unaweza kujaribu data recover kama hizo clip zilikuwepo unaweza zipata kwa kurecover hizo data....
 
Back
Top Bottom