Official jr
Member
- Feb 27, 2017
- 81
- 87
hapo inaonesha huna gpu ya nvidiaHiyo apo mkuu
Name ni Intel Hd graphics 4000
Manufacturer ni intel corporation
Chip type ni intel (R) HD Graphics Family
VGA nilizo download ni NVIDIA_v9.18.13.2702_W81x64_A
mkuu na mimi naomba nielekeze nataka ku update videocard natafuta bila ,mafanikio kama unayo link nidirect laptop yangu ni dell latitude d430pc zinakuwa na configuration tofauti, inawezekana kuna pc kama hio ina nvidia ila yako haina.
game gani linalag? hio gpu inaweza kucheza games zote kama hutajali quality
Poa1. hio gpu ya nvidia ipo ndani ya pc?
2. umedownload driver zipi za nvidia?
kwa kuanzia tukague hio pc kama kweli ina hardware hio ya nvidia gt640
click search andika dxdiag halafu fungua hiko ki program kitakuonesha hardware za pc ikiwemo gpu, angalia ni gpu gani unayo
njia rahisi ni kwenda device manager kama nilivyoelekeza hapo juu halafu chagua display adapter utaiona gpu yako, right click kisha chagua update, hakikisha una internet itaji updatemkuu na mimi naomba nielekeze nataka ku update videocard natafuta bila ,mafanikio kama unayo link nidirect laptop yangu ni dell latitude d430
mkuu nimefanya hivyo...imejiupdate lakini kuna program nikijaribu kuinstall inanitaka tena niupdate graphics card driver update......sasa sijui nifanyaje tenanjia rahisi ni kwenda device manager kama nilivyoelekeza hapo juu halafu chagua display adapter utaiona gpu yako, right click kisha chagua update, hakikisha una internet itaji update
teh teh teh..... me nilivokuwa nasoma nikajua labda ana GPU ya nvidia. hii nayo kali.sasa mkuu umejuaje kama laptop yako ina gpu ya nvidia?
inawezekana gpu ni ndogo, tafuta alternative ya hio programmkuu nimefanya hivyo...imejiupdate lakini kuna program nikijaribu kuinstall inanitaka tena niupdate graphics card driver update......sasa sijui nifanyaje tena
mkuu sina uelewa mpana wa hilo jambo naomba nieleweshe......inawezekana gpu ni ndogo, tafuta alternative ya hio program
namaanisha pengine hio software haiwezi kufanya kazi sababu gpu yako ni ndogo.mkuu sina uelewa mpana wa hilo jambo naomba nieleweshe......
mkuu ninamaanisha pengine hio software haiwezi kufanya kazi sababu gpu yako ni ndogo.
tafuta software nyengine kama hiyo ambayo itakubali gpu yako.
ni software gani hio?
mkuu ni
nox app player nimeshaidownload lakini haikubari na nimesha update mara kibao bila mafanikio....msaada tafadhari
nisaidie mkuu kucrack...sielewi ndio kunafanywaje?mkuu kama imekataa hadi hio tafuta youwave sema ni ya kulipia hivyo itahitaji kucrack.
alternative flash tu android kwenye pc yako, os kama phoenix.