Msaada: wataalam wa computer

mkuu, adopter inatoa moto vizuri. nikikonnect pc inaonesha inacharge kwa muda kama wa sekunde 30 hivi na betry charge inaonekana iko nusu (54%). baada ya hapo inaacha ghafla kuchaji na nikiunplug pc huzima.

Bado hujatatua hili tatizo.? Hapo tatizo laweza kuwa miongoni mwa hivi vitu vitatu.

1. Battery imekufa
2. Adapter imekufa
3. Software/OS katika PC imecorrupt.

Kabla ya yote jaribu kuupdate hiyo OS yako kisha uangalie.
 
Msaada na mimi
Asus keybord yang pamoja na mouse havifanykaz
Tatizo nini
 
Bado hujatatua hili tatizo.? Hapo tatizo laweza kuwa miongil mwa hivi vitu vitatu.

1. Battery imekufa
2. Adapter imekufa
3. Software/OS katika PC imecorrupt.

Kabla ya yote jaribu kuupdate hiyo OS yako kisha uangalie.
Nami laptop yangu imezima na inagoma kuwaka, na nikikonekti chaja inaonesha kama inaingia sekunde 4 halafu kile kidude cha chajingi kinazima na kijaribu kuiwasha inagoma kuwaka.
Tatizo laweza kuwa nini?
 
Pole. Tafuta adapter ya same model tofauti na uliyonayo, hrf jaribu kuchajia na uwashe pc. Lenovo series hizo zina issue ya bios.
 
Nami laptop yangu imezima na inagoma kuwaka, na nikikonekti chaja inaonesha kama inaingia sekunde 4 halafu kile kidude cha chajingi kinazima na kijaribu kuiwasha inagoma kuwaka.
Tatizo laweza kuwa nini?

wakati unaiwasha, ukiisikiliza kwa ukaribu feni inazunguka.? au unasikia muungurumo wowote toka katika PC.?
 
mkuu haipungui kidogo manake hali sio nzuri na naomba uniwekee hiko kioo
ni-pm, ila chamsingi uwe dar es salaam, coz kutuma mizigo mkoani huwa sifanyi tena kuna usumbufu mwingi, kama haujui jinsi ya kukifunga unakuja na machine ofisini nitakufungia bure.
 
wakati unaiwasha, ukiisikiliza kwa ukaribu feni inazunguka.? au unasikia muungurumo wowote toka katika PC.?
Mkuu ya kwangu ni Dell Latitude D630 ina waka na feni inazunguka lakin hai_display chochote kwenye screen... Tatizo litakua ni nini.!?
 
wakati unaiwasha, ukiisikiliza kwa ukaribu feni inazunguka.? au unasikia muungurumo wowote toka katika PC.?
Hausikiki muungurumo wowote, ukikonekit chaja, kwenye kile kialama cha betri chajingi kinawaka na kuzima kwa sekunde kama 3 hivi na ukijaribu kuiwasha haiwaki.
 
wakati unaiwasha, ukiisikiliza kwa ukaribu feni inazunguka.? au unasikia muungurumo wowote toka katika PC.?
wakati unaiwasha, ukiisikiliza kwa ukaribu feni inazunguka.? au unasikia muungurumo wowote toka katika PC.?
Nikikonekit chaja hicho kidude cha battery kinawaka na kuzima kama kinavyoonekana hapo, na nikijaribu kuiwasha haiwaki kabsa. Sijui tatizo laweza kuwa nini?
 
Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…