Kim Il Kwon
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,219
- 1,037
window 8.0 (not updated) mkuuUnatumia window 10?
tatizo hapo ni battery au adapter.. kama upo dar ni-pm ninacho hicho kioo cha lenovo l412salaam wakuu. nahitaji msaada nini nifanye ili pc yangu iweze kutunza moto. modeli ya pc husika ni lenovo thinkpad L412
Leo ni siku ya nne najaribu kuichaji inagoma. iniandikia ujumbe huu, "pluged in, not charging"
lakini pia natafuta screen ya pc yangu hii.
dah ngoja nibadili nione kama ni suluhu.Adapter ni tatizo mkuu
Unatumia window 10?
mkuu, adopter inatoa moto vizuri. nikikonnect pc inaonesha inacharge kwa muda kama wa sekunde 30 hivi na betry charge inaonekana iko nusu (54%). baada ya hapo inaacha ghafla kuchaji na nikiunplug pc huzima.Kwanza pima adopter yako inatoa moto unaotakiwa?kama inatoa angalia ukichomeka charger bila battery inatoa umeme kwenye pin za kucharge battery?je nature ya battery in temperature ukiliweka kwenye charge?
To a battery weka charge ,then chek unaweza tumia pc bila battery kabisa so ikiwork 2 things battery au charging system ya pcmkuu, adopter inatoa moto vizuri. nikikonnect pc inaonesha inacharge kwa muda kama wa sekunde 30 hivi na betry charge inaonekana iko nusu (54%). baada ya hapo inaacha ghafla kuchaji na nikiunplug pc huzima.
mkuu na mm nina shida na kioo cha dell latitude core i5tatizo hapo ni battery au adapter.. kama upo dar ni-pm ninacho hicho kioo cha lenovo l412
dell latitude model gani??? huwa vinatofautiana size na type ni vizuri kunitajia model sahihimkuu na mm nina shida na kioo cha dell latitude core i5
ok hapo window(o.s) uliyoweka haipo sawa mara nyingi kama imeingia driver ambayo siyo compatible hilo tatizo hutokea.. solution rahisi ni-kuinstal fresh os kuliko ku-track tatizosamahani kwa kuingilia Uzi but nami Nina tatizo kama hilo ila PC inacharge vizuri lakini nilipobadirisha window kutoka window 8 to 10 inazima tu ghafla muda wowote ila haizidi nusu saa
ok mkuu hicho kioo ni inch 14, kinatumia invertor ninavyo na bei vipya bei 85,000.e6420
mkuu haipungui kidogo manake hali sio nzuri na naomba uniwekee hiko kioook mkuu hicho kioo ni inch 14, kinatumia invertor ninavyo na bei vipya bei 85,000.