Kuna rafiki yangu Mtoto wake ana Mwaka 1 anatapika wakati mwingine Anaharisha pia ana JOTO KALI amepimwa Maralia U. T .I lkn hakuna kitu na Mtoto anaendelea kuumwa kiukweli amechanganyikiwa hajui ni kitu gani kinamsumbue mwanae aliponishirikisha nimeona nije kwenu kwaajilia ya ushauri wakitaalam.
Natanguliza SHUKRANI
Mpeleke kanisa la KKKT Sinza kwa maombezi na kufunguliwa. Omba kumuona mchungaji/mwinjilisti/parishworker utahudumiwa. Bwana Yesu ndio kipimo pekee haswa pale vipimo vingine vinaposhindwa kuona tatizo. Hutaulizwa dini yako wala kanisa lako. Mungu akupe hekima itokayo kwake.
Heshima kwenu waKUU.
Kuna rafiki yangu Mtt wake ana Mwaka 1 anatapika wakati mwingine Anaharisha pia ana JOTO KALI amepimwa Maralia U T I lkn hakuna kitu na Mtt anaendelea kuumwa kiukweli amechanganyikiwa hajui ni Kitu gani kinamsumbue Mwanae Aliponishirikisha nimeona nije kwenu kwaajilia ya Ushauri wakitaalam
Natanguliza SHUKRANI