Msaada: Wapi wananunua sarafu za zamani

Msaada: Wapi wananunua sarafu za zamani

Asa'rile

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
438
Reaction score
120
THINK TANKS. Nina sarafu nyingi zilizotumika zamani sana, wakati wa ukoloni. ni dizaini kama Rupia, lakini za Queen Elizabeth I na repees.
nilishasikia kwamba kuna jamaa au maduka fulani wanazinunua. nahitaji kujua
 
Ningefurahi kupata picha za hizo sarafu, na idaadi zake, na pia ukipenda kunijulisha bei yako kwa zote.
 
Wapo wanaonunua sarafu za zamani mpaka leo?
Yapi hasa matumizi yake katika enzi hii, au ni katika mambo ya shirki na uganguzi?
 
THINK TANKS. Nina sarafu nyingi zilizotumika zamani sana, wakati wa ukoloni. ni dizaini kama Rupia, lakini za Queen Elizabeth I na repees.
nilishasikia kwamba kuna jamaa au maduka fulani wanazinunua. nahitaji kujua

Nenda bank kuu B.O.T
 
Back
Top Bottom