habari watu wa jamii forums, katika kuperuzi mitandao nikaona kwenye mtandao wa youtube ufugaji wa kuku wa kisasa kwa kuwaweka kwenye cage, yaani ufugaji huu ni wa ufanisi wa juu kweli,hata kuku hawaezi kutapanya chakula wala kula mayai, nataka nijaribu kufanya lakini sijui hizi cage wanaziuza wapi, zinaitwa layer cages kwa anayejua naomba msaada, au mniambie maduka makubwa ya pembejeo za ufugaji wa kuku....shukrani
Dar Zipo Maeneo ya Victoria ukipanda na njia ya kuelekea kwa Keruki Hospital. Kutoka kituo cha Daladala Kuelekea Hospital Mkono wa kulia kuna ofc utaona kwenye display. Wanaitwa green.
Nipo arusha, kwenye maonesho ya nane nane. Among the products they display ni battery cage. So hebu google hiyo kampuni.
Habari watu wa jamii forums, katika kuperuzi mitandao nikaona kwenye mtandao wa youtube ufugaji wa kuku wa kisasa kwa kuwaweka kwenye cage, yaani ufugaji huu ni wa ufanisi wa juu kweli.
Hata kuku hawaezi kutapanya chakula wala kula mayai, nataka nijaribu kufanya lakini sijui hizi cage wanaziuza wapi, zinaitwa layer cages kwa anayejua naomba msaada, au mniambie maduka makubwa ya pembejeo za ufugaji wa kuku.
Shukrani.
Hizi kiongozi zinatengenezwa tu kufuatia design unayoitaka. Tafuta mafundi tu wenye mashine za kuchomelea unawatafutia wire mesh zenye matundu madogo madogo! Pale pa kutagia unatengeneza ki-slope kidogo ili kuku akitaga yai linaserereka kuelekea mahali pa kukusanyia! Kama uko Morogoro, nenda ukaibe utaalam pale SUA-DASP!!
Mkuu hii ya rows 3 ina urefu gani na inabeba kuku wangapi..pia ya row 4 ina uwezo gani. DM me sample cage plsMkuu nauza hizo cage kwa bei nafuu sana. Ya Rows 3 ni Tshs 850,000 na ya Rows 4 ni Tshs 1,000,000 per cage.
Cages zina ubora wa hali ya juu sana. Nipigie kwenye number yangu 0658-300982.
Mkuu nauza hizo cage kwa bei nafuu sana. Ya Rows 3 ni Tshs 850,000 na ya Rows 4 ni Tshs 1,000,000 per cage.
Cages zina ubora wa hali ya juu sana. Nipigie kwenye number yangu 0658-300982.