DR. MWAKABANJE JF-Expert Member Joined Nov 7, 2012 Posts 1,986 Reaction score 3,151 Aug 13, 2017 #1 Kama kichwa kinavyojieleza, naomba kujua mahali na bei ya jumla ya mifuko ya kawaida ( nylon/salfeti) ya debe sita kwa Dar. asanteni
Kama kichwa kinavyojieleza, naomba kujua mahali na bei ya jumla ya mifuko ya kawaida ( nylon/salfeti) ya debe sita kwa Dar. asanteni
Mwabhleja JF-Expert Member Joined Jan 27, 2016 Posts 1,369 Reaction score 2,105 Aug 13, 2017 #2 DR. MWAKABANJE said: Kama kichwa kinavyojieleza, naomba kujua mahali na bei ya jumla ya mifuko ya kawaida ( nylon/salfeti) ya debe sita kwa Dar. asanteni Click to expand... Ngoja wanaojua waje! Jamani njooni mtusaidie siyo Mwakabanje pekee mwenye uhitaji Kwa Hisani Ya Watu Wa Mbeya!
DR. MWAKABANJE said: Kama kichwa kinavyojieleza, naomba kujua mahali na bei ya jumla ya mifuko ya kawaida ( nylon/salfeti) ya debe sita kwa Dar. asanteni Click to expand... Ngoja wanaojua waje! Jamani njooni mtusaidie siyo Mwakabanje pekee mwenye uhitaji Kwa Hisani Ya Watu Wa Mbeya!
mitale na midimu JF-Expert Member Joined Aug 26, 2015 Posts 10,419 Reaction score 17,762 Aug 13, 2017 #3 nenda kariakoo sokoni, nadhani huwezi kukosa taarifa sahihi pale. au tembelea masoko ya nafaka tandika au tandale utapata taarifa sahihi. nimejibu in advance kama asipojotokeza wa taarifa kamili
nenda kariakoo sokoni, nadhani huwezi kukosa taarifa sahihi pale. au tembelea masoko ya nafaka tandika au tandale utapata taarifa sahihi. nimejibu in advance kama asipojotokeza wa taarifa kamili