Msaada-wapi nitapata king'amuzi cha easy tv


Thnx you Pauss
 


well then kutokana na maelezo yako ikiwa ndio hivyo ilivyo then i see no difference na hawa wachina wa TBC au ATN..... kwani mostly chanell kwa malipo wanayochaji hawa startimes na channelss wanazotoa inashabihiana na bei wanayotoa easy tv kwa mwezi.....
 
Tofauti kubwa ni kuwa easy tv wanaonyesha tv zote za kibongo wakati wengine wana baniana.
Kikubwa ni kuwa kwa provider hawa wa sh elf10 kwa mwezi usitegemee kupata chaneli za maana hata siku moja
 
kwa sasa wamepunguza bei kulipia kwa mwezi ni shilingi 9000.Kipo bomba kuliko startimes wanatujazia katuni tuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…