MSAADA!!! wapi nitajifunzia PROGRAMMING na CODING Mwanza?

MSAADA!!! wapi nitajifunzia PROGRAMMING na CODING Mwanza?

miles2020

Member
Joined
Jan 13, 2021
Posts
66
Reaction score
25
Habari

Naomba kujua sehemu wanakofundisha masomo ya computer kwa upande wa programming na coding kwa hapa mwanza.

Ada ni sh ngapi?? na ni wapi?

Binafsi sina msingi wa masomo ya computer...kwa hiyo sijui chochote kwa upande huo..

Asanteni
 
Nyie ndo mnataka kuwa makanjanja…Nenda chuo ukapate full course…Wenzenu wanaenda vyuon kusoma 3yrs nyie msome mtaani tu huko
 
Nenda DIT kule ilemela njia ya kwenda airport utapata jawabu.

Ila kama una muda download vitabu, tutorial video jifunze. Miezi 6 ya nguvu hautokua kama ulivyo sasa
 
Habari

Naomba kujua sehemu wanakofundisha masomo ya computer kwa upande wa programming na coding kwa hapa mwanza.

Ada ni sh ngapi?? na ni wapi?

Binafsi sina msingi wa masomo ya computer...kwa hiyo sijui chochote kwa upande huo..

Asanteni
Niko mwanza ila kiukweli siwezi kukubrash nitakuwa nimekuibia kwakuwa huna msingi wa computer atleast bro unahitaji computer course usije tengeneza android apps hata hujui memory inafanyaje kazi . Nenda nenda kale course ya computer kwanza alafu njoo Bugando
 
Back
Top Bottom