duuuuh lara wewe hufanyagi?Kama yupo UDSM aende TAASISI YA GENDER watamsaidia sanaaa! Im sure ada atalipiwa yote na BOOM atapewa pia. Na hata mimba ikimsumbua chuoni katika COURSE WORKS na U.E watamsaidia apewe Special exams, na kufaulu. Asipuuze this i am sure of it 100% Najua CV yangu mimi LARA 1 sio ya kuridhisha wala kuaminika humu JF bt this SHIT is 100% SERIOUS N TRUE.
Back to my old me, hivi kwanini wanawake tunakuwa na HURUMA hivo? We utabebaje mimba bila makubaliano???? Afterall why gamble with your sexy shape?
lakini ana tatizo jamani ...wanaume hawa ?Anataka ushauri au anataka kulipiwa ada?
lakini ana tatizo jamani ...wanaume hawa ?
duuuuh lara wewe hufanyagi?
khaa upo juu, ila all in all tulizana shostiNafanya sanaaa, ila mimi nina KIJITI!!!! Mambo ya nyota kijani!!! LOLEST!!!!! Plus i always use CONDOMS for HIV protection, hata in my wallet haikosi JUST IN CASE nikiwa ZOMBIII kwa masaaa shetani akinipitia!!!!! LOLEST!!! Ukikaa sana JIJINI na ukiwa mtoto wa mjini, UTAZIKA wengi mpaka utaanza kujikinga!!!
TACAIDS, PSI,ICAP, UZAZI SALAMA mpooooooo! Mnipe zawadi kwa kufuata ushauri wenu!!! LOLEST!! NANI KANUNA?????
Du Asante lara 1 kwa bonge la ushauri, nilikuwa nataka kuanza kumobilize JF women tumchangie amalize shule yake.
I hope huko ulikomwelekeza watamsaidia!
nionyeshe jiji basi na mimi dearWatamsaidiaa! Ila ndo aache KUVAMIA JIJI, jiji lina wenyewe, hata wasipomsaidia aje humu nitamuelekeza kwingine kama kwa WAMA kwa first lady, UTU MWANAMKE, AFSAT, misaada ipo mingi aongee vizuri tu na sie watoto wa mujini tumuelekeze ramani ya jiji! Na sio anaendaa tu huko nilikomtajia, ani PM nimuelekeze pa kuanzia. Ila GENDER aendee tu atasaidiwa coz, wana HELA SANAAA mpaka zinabakigi hakuna wakusaidiwa.
tatizo lishatokea sio muda wa kulaumu .ni muda wa kusolve mama lohhuyo binti nae sio mzima, toka lini ukabeba mimba ya buzi? Ndio buzi maana walikuwa wanafanya biashara binti anauza utamu bwana analipa ada.....
Sina ushauri zaidi alee tu.... Ingawa inasikitisha sana.....
Yaani badala ya kupunguza matatizo kaongeza matatizo
kiukweli yeye anakazania kwanza atoe mimba maana hajuiafanyaje mwanaume kaama na mkoa kiukweli kachanganyikiwa kikubwa ni ushauri kwao anashindwa kurudi na mimba nipo nae ninapokaa
kiukweli yeye anakazania kwanza atoe mimba maana hajuiafanyaje mwanaume kaama na mkoa kiukweli kachanganyikiwa kikubwa ni ushauri kwao anashindwa kurudi na mimba nipo nae ninapokaa
ahahaaa upo wapi dear nikupe hata glass ya majiWeweeeee ATAHARIBU ISHU!!!! MIMBA NDO DILI LENYEWE HILO!!!! Ukiwaa maskini, UTASAIDIWA KIDOGO, ukiwa MASKINI MWENYE MIMBA ISIO NA BABA, BAAAAAS! USHASAIDIWA!!!!! Huko kote bila mimba HAPATI KITU. Sababu kubwa ya kusaidiwa huko ni ili ASIJIUZE NA MIMBA!!! Sasa kama hana mimba basi ajiuze apate ada!! Acheni kabisa habari ya kutoa mimbaaa, KILA MTOTO ANAKUJA NA RIZIKI YAKE!!!! Bila mimba kumpata, ungekuja kuandika humu, ukanikiuta LARA 1 nikakuelekeza wanakosaidia mabinti wasio na uwezo??? RIZIKI YA MIMBA HIII.