Msaada wap naweza kupata Power supply system ya photocopy mashine

Msaada wap naweza kupata Power supply system ya photocopy mashine

KB THE DON

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
250
Reaction score
117
Kama kichwa cha habari hapo nimepata tatizo la power supply unit ya cannon photocopy machine iliharibika/kufa kwa kuungua na umeme nmejaribu kwa mafundi imeshindikana kutengenezeka hvyo naomba ambae atakuwa anafaham namna ya kupata hiki kifaa kwa apa Tanzania anifahamishe tafadhari msaada wenu wakuu mambo hayaendi
Specification zake ni kama inavyoonekana kwenye picha [emoji116] [emoji116]
07582482dc53fef6d009e5eaaf289fcd.jpg
 
fanya ivi, tafuta zile hp/dell desktop monitor iliyochoka, fungua ndani mle kuna power supply unit, inawezasaidia
izi monitor pale machinga complex zipo za kumwaga
 
Mkuu hiyo kama hiyo copier imeungua power supply unit bora uiuze kama spare. Mimi nilihangaika mpaka nilipoagiza mpya kutoka UK bei ilikuwa pound 300
 
Kama kichwa cha habari hapo nimepata tatizo la power supply unit ya cannon photocopy machine iliharibika/kufa kwa kuungua na umeme nmejaribu kwa mafundi imeshindikana kutengenezeka hvyo naomba ambae atakuwa anafaham namna ya kupata hiki kifaa kwa apa Tanzania anifahamishe tafadhari msaada wenu wakuu mambo hayaendi
Specification zake ni kama inavyoonekana kwenye picha [emoji116] [emoji116]
07582482dc53fef6d009e5eaaf289fcd.jpg
Photocopy yako ni model gani? Kuna duka pale karibu na Chief pride wanauza power supply za copies za canon.Weka model hapa tukupe ushauri
 
Kuna mtu pia namfahamu ni mwal kahangaika sana na hiyo kitu ni afadhar uuzue mashine kama spare la sivyo itakutesa

Brother ang kahangaika sana na hiyo yeye yupo katav fund anatoka iringa lakin bado
 
Back
Top Bottom