M makarangio Member Joined Jun 5, 2015 Posts 8 Reaction score 0 Jun 30, 2015 #1 Msaada kwa wale wenye ujuzi na maswala ya mikopo ya elimu ya juu, je kwa waombaji ambao wametuma fomu bila kutoa vivuli, watafanyaje pindi wakikosa mikopo kupata ushahidi kwamba waliomba?
Msaada kwa wale wenye ujuzi na maswala ya mikopo ya elimu ya juu, je kwa waombaji ambao wametuma fomu bila kutoa vivuli, watafanyaje pindi wakikosa mikopo kupata ushahidi kwamba waliomba?