MSAADA WANGU KWA MAMA ZANGU

MSAADA WANGU KWA MAMA ZANGU

Joined
Aug 26, 2018
Posts
5
Reaction score
2
A,aleykum warahmatullah wabarakatu naam ndugu zangu katika imani na ndugu zangu katika Adam leo ni siku ya jumatano ni siku ambayo hutumia kuelekeza aina ya dawa fulani kwa wenye matatizo fulani.

LEO NAANZA NA MAMA ZANGU WAJAWAZITO

Wapo mama zetu au dada zetu ambao wanaposhika tu ujauzito inakuwa tabu wao kufanya shughuli zao za kawaida hata zile ndogo ndogo za ndani ya nyumba hivyo mara nyingine huonekana kero kwa mume,ndugu au jamaa
Kushindwa huko kunatokana na wao kupoteza nguvu na viungo kunyong'onyea ,lakini pia wapo wakina mama ambao hupoteza damu nyingi wakati wa kujifungua na wengine hujifungua kwa kisu (Operesheni) kwa kuonekana njia zao za uzazi ni ndogo hivyo hulazimika kujifungua kwa njia ya operesheni

WOTE HAO WAFANYE NINI KUEPUKANA NA MATATIZO HAYO ?

Hawa wanatakiwa watengeneza utaratibu wa kutumia tunda la zao la tende pindi wanaposhika ujauzito

Watatumia kutwa Mara tatu wajitahidi sana asubuhi wapate japo tunda 3 mchana na usiku pia kama watazidisha idadi ni vizuri pia na wajitahidi wapate zilizoiva sawa sawa kwasababu moja ya maajabu ya tende ni katika uivaji wake unauivaji wa aina saba ila wewe jitahidi upate iliyoiva sawa sawa
Utafanikiwa na utakwenda kujifungua huku ukitembea kwa miguu yako kama hospitali itakuwa karibu

Hasanteni kwa msaada zaidi wasiliana nami whatup0757144465 au piga 0656228832

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom