Kuuliza si ujinga na aulizae anataka kujua! Wana JF naomba kuuliza nijuavyo mimi kuna masoko mbali mbali hapa Tz mfano Soko la kariako lipo dsm, soko la Kilombero lipo A town, soko la Mwanjerwa lipo The green city so swali langu ni kwamba je SOKO LA DUNIA LIPO NCHI GANI???