Msaada wanapouza fridge kwa bei nzuri

Msaada wanapouza fridge kwa bei nzuri

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,855
Habari wakuu poleni na mihangaiko nilikua nauliza hapa dar ni maeneo gani wanauza fridge ndogo nzuri kuanzia 150000 - 200000
 
mitaa ya mwenge pale near Tarakea utakuta .
Kinondoni mitaa ya Biafra kama unaingia mtaa wa kwenda kanisani mkono wa kulia.
Kariakoo ndo usipime.
KAZI NI KWAKO
 
Bei nzuri ni ipi?Ya juu sana au ya chini sana?
Dah!!! Mkuu kama hivi ndio unavyopima ubora wa kifaa kuwa macho usipigwe changa la macho!! Bongo haijaitwa bongo coincidentally 🙂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom