Msaada: wanaojua Linux servers

AMAN32

Senior Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
110
Reaction score
55
Habarini wanajamii kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji msaada kwa yeyote anayejua au mwenye uzoefu na server za Linux.Shida yangu kubwa ni kwamba niinstall Ubuntu server kwenye pc yangu kutumia virtual box shida nahitaji kujua nitapataje IP address ya server yangu n
 
Attachments

OK thanks,ila vipi kuhusu kutumia bridge network haitasababisha kukosekana kwa network kwenye guest os? Maana kuna sehemu nilisoma wakawa wanasema ni vizur kutumia NAT
 
OK thanks,ila vipi kuhusu kutumia bridge network haitasababisha kukosekana kwa network kwenye guest os? Maana kuna sehemu nilisoma wakawa wanasema ni vizur kutumia NAT

No! I'm a big fun of Bridge, na haijasumbua!
 
Ila nashukuru sana,nimefanikiwa nilichokuwa nakitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…