Mkuu hiyo namba STK ni mwendelezo wa namba ST= Serikali ya Tanzania.................. maana ilianza ST, STA......STG, STH, STJ na sasa ni STK na hizo namba zikifika mwisho itaingia STL