Nimependezwa kuleta jamvini swala hili nina jamaa yangu mtu wa karibu ambaye nayafahamu maisha yake kiujumla..
issue ni kwamba msela akimface dem at the first time huwa anampenda na kujipangia makubwa atakayofanya kwa huyo manzi..
ila jamaa akishapata mzigo mara ya kwanza hutosheka na hamu humwishia yakuendelea kuishi na huyo dem ka mpz wake badala yake humtengenezea visa na kumtema..
afu jamaa hupata bahati ya kupendwa...plz msaada hapo washauri..
nawasilisha.....