Mr. PriceKing Two
JF-Expert Member
- Feb 4, 2014
- 235
- 45
mimba zinavituko jamen, nilikuwa na rum mate wangu first year alikuwa mjamzito, dada alinichukia hadi nikataman kuhama rum. lakin alipojifungua tukawa mabest wakubwa hadi leo hii.
maigizo yaliyopita kiwango
hawa wanawake sijui wanaangaliaga na sura wamfanyie nani ujinga wao??
hivi ninyi mabinti wa mijini mna matatizo gani? kwanini mkipata mimba mnajifanya wana mieleka na wababe namna hiyo?
mbona wenzenu wa vijijini wako tofauti kabisa na ninyi? au wao si wanawake kamili?
aisee mnachosha, mnakera....!!! mkipendwa na kunyenyekewa mnajifanya ninyi ndio ninyi!!!!
kinachochekesha kaomba mwenyewe kuhamia kwa mshkaji tena bila ndoa rasmi kisha anafanya vituko vya hivi? Mi ningemrudisha kwao akijifungua DNA kisha probation inaanza upya! hakunaga mimba ya ivo bana
mimba zinavituko jamen, nilikuwa na rum mate wangu first year alikuwa mjamzito, dada alinichukia hadi nikataman kuhama rum. lakin alipojifungua tukawa mabest wakubwa hadi leo hii.
Mh hyo mimba ya kichina nin mpaka inataka kulala nje.mkuu hapo kuna lake jambo.4 nw u cant prove hyo mimba ya nani bt huyo mpangaj mwenzako uwe nae makini.
Inaweza kuwa mimba ndio chanzo cha kuwa hivyo.
Jaribu kofi kidogo azibuke. Wengine ukifanya hivyo ndio mnakaa sawa.
Mengineo vumilia ajifungue utajua la kufanya.
Pole.
Sent from Samsung Note III using Tapatalk
mimba zingekuwa hivi zingeogopwa kama hivWala sitakubaliana na mtu yoyote atayedai kuwa hiivyo ni vituko vya mimba...
Huyo bi mkubwa anayo yake tu, ni kweli wanawake wakiwa wajawazito huwa na mabadiliko ya kitabia lakini si kwa kiasi kilichopitiliza kama hicho...
Ushauri wangu.
Tafuta kanisa haraka mkatubu hiyo dhambi ya uasherati, tafuta mahari lipia ili binti awe wako jumla.
hakunaga kabiasa kaka! huyo ana lake na marcus wakekinachochekesha kaomba mwenyewe kuhamia kwa mshkaji tena bila ndoa rasmi kisha anafanya vituko vya hivi? Mi ningemrudisha kwao akijifungua DNA kisha probation inaanza upya! hakunaga mimba ya ivo bana