Msaada wana JF kuhusu Pride

ng'wibo chuma

Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
24
Reaction score
4
Naomba msaada kwa anayeijua pride tz, Je, ni kampuni ya uhakika kuifanyia kazi? na inawajali wafanyakazi wake?..
Pliiz msaada wenu kwa anayeijua vzr
 
For sure n sehemu nzuri wanalipa vizur not les than lak tano kun mtu namfahamu anafny kaz huko n sehemu nzuri
 
.
kinachonishangaza ni kwamba hakuna haja ya kupondea kama huna jibu la swali..hili ni jukwaa huru kwa mtu yeyote..nimeomba msaada ilipaswa msaidie na sio kutoa kashfa waungwana..
thanks anyway
Umeitwa kazini mkuu, maana wenzio washapigia simu wakachukue barua zao, any way utakuwa miongoni mwao, Hii taarifa ni ya kweli na si jokes ndugu yangu alifanya saili zote mbili (written & oral) kapigiwa simu since last week akachukue barua na kituo chake cha kazi ni Masasi.
 

ndio nimeitwa last week mkuu..asanteni wadau woote wenye hekima na uelewa..Nawapenda
 
Pride ilikuwa nzuri zamani ndugu yangu..wafanyakazi wengi wameondoka na kujiunga na taasisi zingine za fedha kama utt na zingine.kama mfanyakazi unaruhusiwa kukopa mara 3 ya mshahara wako na unatakiwa kulipa ndani ya miezi isiyozidi 12..na wana mikopo ya aina mbili..ya rent na general.sasa kwa wewe unayeenda kuanza hutopata huo mkopo mpaka probation iishe na ikiisha hadi uipate hiyo barua ya kuthibitishwa umejuta.wanaothaminiwa ni wale walio makao makuu na zonal managers tu.wengine ni njaa asikuambie mtu.sikukatishi tamaa lakini nimekupa uzoefu wangu huko nimekaa miaka miwili nimeacha kazi mwezi wa 7 mwaka huu.so nenda labda wewe utaridhika kwasababu mahitaji tunatofautiana.all the best ndugu
 
asaante mkuu
 
Pia kwa nyinyi mnao ingia pride sasahivi mtaambiwa mnapatiwa matibabu na ofisi lakini ukweli ni kuwa walio makao makuu tu na wachache ambao wana ndugu huko makao makuu ndio hulipiwa na kampuni.wengine mtajilipia wenyewe au mtaambiwa mtumie SHIB ile inayotolewa na NSSF wakati sio maeneo yote huduma hiyo ipo.na maafisa mikopo wanafanyakazi kubwa sana lakini hawathaminiwi hata kidogo.hata ulalamike au useme jambo kwa manufaa ya kampuni hakuna atakayekusikiliza.so nimekuambia machache hivyo nenda ukijua changamoto utakazokutana nazo.baada ya miezi 2 utarudi hapa kuniambia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…