BEDUI Jr JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 2,037 Reaction score 2,858 May 14, 2017 #1 Habari wana jf Ninataka kufanya maombi ya kujiunga na chuo mwaka huu 2017/2018 kozi gani mzuri nichukue Results Nilipata point 28 nina physics D, Chemistry D, Biology D, Geo D,kiswa D,Histo D, civs D. Ushauri wenu wakuu
Habari wana jf Ninataka kufanya maombi ya kujiunga na chuo mwaka huu 2017/2018 kozi gani mzuri nichukue Results Nilipata point 28 nina physics D, Chemistry D, Biology D, Geo D,kiswa D,Histo D, civs D. Ushauri wenu wakuu
trey007 JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 311 Reaction score 1,548 May 14, 2017 #2 mkuu mbona umri wako umeshaenda miaka 35!!!!? utaitia hasara serikali kama ikikuajiri
BEDUI Jr JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 2,037 Reaction score 2,858 May 14, 2017 Thread starter #3 trey007 said: mkuu mbona umri wako umeshaenda miaka 35!!!!? utaitia hasara serikali kama ikikuajiri Click to expand... Uwo ni umri wa jf mkuu sina umri huo nina miaka 22 mkuu huku jf wengi wetu hatuna ID sahihi Umu majipu tupo wengi chifu usibabaike na ID yangu hakuna kilicho sahihi hata kimoja hapo
trey007 said: mkuu mbona umri wako umeshaenda miaka 35!!!!? utaitia hasara serikali kama ikikuajiri Click to expand... Uwo ni umri wa jf mkuu sina umri huo nina miaka 22 mkuu huku jf wengi wetu hatuna ID sahihi Umu majipu tupo wengi chifu usibabaike na ID yangu hakuna kilicho sahihi hata kimoja hapo
Krn Member Joined Jun 28, 2019 Posts 21 Reaction score 5 Jul 17, 2019 #4 We unataka kuwa nani badae soma unachokpenda chuo unapata