Weka ndugu au girl friend wa viti maalum asiye na sifa ndani ya chadema tuone ukweli. Mbona ccm ina benchi la ufundi,akina prof.maji marefu ndo wabunge 'makini'?! Ccm viti maalum siongelei mana ni aibu tupu,kama si ulaji wa wakuu basi washirikina au matajiri wa ujambazi na wauza unga. Wengine ni wahujumu uchumi kama wale walikamatwa na pembe za ndovu kwenye meli wanazomiliki? Wale misheni town wanaotajwa na ze komedy unawajua,akina A.mteketeeee,wale wa mtwara,n.k unawajua? Achana nao sie tunaijenga chadema ya kweli. Mleta mada umeshalipa mada ya mwaka kule CDM?Mwaka unaisha mkuu kama bado fanya hima,endelea kukaribisha watu ndani ya CDM 2015 tuwapokonye kijiti mafisadi.