Msaada walipo "Intergrated"

Aug 12, 2013
24
5
Nawafahamu kwa jina moja tu, Wanaitwa intergrated wanashughalika na maswala ya Marketing, Wapo dar ila cjui maeneo gani, msaada kwa anayefahamu
 
wapo kinondoni morocco!! chukua basi la mwendo kasi hadi morocco then nenda hadi makutano ya Barabara ya Ali hassan mwinyi na kawawa, Karta kushoto kama unaelekea mwenge, tembea hatua chache tu hapo upande huo wa kushoto utaona ofisi zao, wanatizama na kanisa la kristo!!
 
Shuka Moroco, kata kona kulia,kushoto, kata tena kulia, alafu kata kulia tena, nyoosha, kata kushoto, rudi nyuma kidogo, angalia mbele, utaona Intergrated, kisha fuata maelekezo ya bango,umeelewa..?
 
Back
Top Bottom