Possible loan kama 1.5, so una zaidi ya 1.2 ya kulipa kwa mwaka, pamoja na ada za mitihani.
Usiombe upate supp maana utailipia. Kwa elimu napenda wanavyombana mwanafunzi kuingia vipindi vyote. Obviously watakua competent.
hivi vyuo vya wahindi na watu wa nje viko juu mno khaa. hata kama ni biashara sio ivo. mf st jose, imtu.
mungu atujalie tukatie msul jembe mm nimechaguliwa computer science software engineering ruco
Possible loan kama 1.5, so una zaidi ya 1.2 ya kulipa kwa mwaka, pamoja na ada za mitihani.
Usiombe upate supp maana utailipia. Kwa elimu napenda wanavyombana mwanafunzi kuingia vipindi vyote. Obviously watakua competent.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.