msaada wakuuu

msaada wakuuu

mpeleke hospitali ya maana akaanzishiwe dozi, sio zahanati za vichochoroni
 
Kaka nenda pale mwenge kuna cliniki ya wakinamama wajawazito pale wako vizuri balaa au ni pm me mwenyewe mkewangu alikuwa na tatizo kama hilo ila thanx god sahv yupo vizuri njoo pm mpwa tusaidiane
 
Back
Top Bottom