msaada wakuu

Yasin21

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
667
Reaction score
404
habarini za muda huu
samahani wakuu nina simu yangu aina ya tecno M3..inanisumbua sana yaan nikiwasha data tu matangazo kila muda hadi kero naombeni utatuzi juu ya hilo wakuu

chief mkwawa na wadau wengine karibuni...!!
 
Android version yake ni ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…